Orodha ya majina ya walitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025

Image
  Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili – Jeshi la Polisi Tanzania 2025 Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kuwataarifu waombaji wote waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi hilo kwa mwaka 2025 kuwa mchakato wa usaili umeanza. Waombaji waliochaguliwa kwa ajili ya usaili wanatakiwa kufika kwenye vituo vya usaili wakiwa na nyaraka zifuatazo: Barua ya mwaliko wa usaili Nakala halisi na nakala ya cheti cha kuzaliwa Nakala halisi na nakala ya vyeti vya elimu (kidato cha nne/sita, astashahada, stashahada au shahada) Kitambulisho cha Taifa au namba ya utambulisho kutoka NIDA Vyeti vya taaluma kwa waombaji wa fani maalum Picha mbili (2) za pasipoti za hivi karibuni Maelekezo Muhimu: Waombaji wote wanatakiwa kufika siku moja kabla ya tarehe ya usaili kwa ajili ya kuhakiki nyaraka zao Gharama za usafiri, malazi na chakula zitagharamiwa na mwombaji mwenyewe Usaili ni bure – hakuna malipo yoyote yanayohitajika Ni ...

ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI - MACHI 2025

 ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI - MACHI 2025


Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza majina ya vijana waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi katika fani mbalimbali kwa njia ya uanagenzi.


Mafunzo haya yatatolewa katika vyuo mbalimbali nchini, na vijana waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye vyuo hivyo kwa ajili ya kujisajili kuanzia tarehe 3 Machi 2025.


Jinsi ya Kuangalia Majina:

Majina ya waliochaguliwa yamebandikwa kwenye mbao za matangazo za vyuo husika na pia yanapatikana katika vyanzo rasmi vya serikali.


Tunawapongeza vijana wote waliochaguliwa na tunawatakia mafanikio mema katika mafunzo yao.


Kwa maelezo zaidi na orodha kamili ya majina, tafadhali pakua hapa

ORODHA YA MAJINA YA VIJANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA MAFUNZO YA UFUNDI STADI - MACHI 2025



Trending Posts

Orodha ya majina ya walitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025

TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA ZA JESHI LA POLISI TANZANIA - 2025

BENEFITS OF ATTENDING VETA (Acquiring Practical Skills)

Historia ya Perseverance Rover na Wataalamu Waliohusika katika Utengenezaji Wake