Orodha ya majina ya walitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025
Mr. PDFs TZ ni jukwaa la Maarifa linaloongoza katika kushiriki maarifa kupitia elimu, makala, sayansi na teknolojia. Lengo letu ni kuhamasisha vijana na jamii kwa ujumla kwa kutoa maudhui bora na yenye manufaa. Dira Yetu na Malengo Yetu ni: ► Kuelimisha jamii kwa makala zenye ushahidi wa kisayansi. ► Kusaidia wanafunzi kupata nyenzo bora za kujifunza. ► Kuelimisha kuhusu maendeleo ya teknolojia na mchango wake. Maarifa ni Nguvu!
Akili ya binadamu ni mojawapo ya mambo yanayoendelea kuwashangaza wanasayansi. IQ hutumika kupima uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo. Hapa tunazungumzia watu wenye IQ kubwa zaidi duniani.
Watu hawa wameleta mabadiliko makubwa katika nyanja tofauti. Hata hivyo, IQ peke yake si kipimo cha mafanikio; bidii na nidhamu pia ni muhimu.